@DukeOfKabeteshire ukiwa na pesa maisha kenya ni tamu
@DukeOfKabeteshire ukiwa na pesa maisha kenya ni tamu
Halafu ukitoka tuu hapo nje unagongana na boda boda wanachoma gari yako ama unakutana na wagondi unatolewa nguo utembee ndethe. Kwa nini waafrika mnakuwanga wajinga hivi? Baadala ya kutafuta vile mtakuwa na a just society mnatengeneza hashtags?
Overpriced shit to keep locals out. That’s why you need money to go there.
Hakuna kitu hapa. Nimeona hilux na vitz kadhaa. In a city like Monaco au Miami, ukienda ordinary clubbing itabidi ufiche BMW na Mercedes zako mbali na parking lot juu ya magari ziko hapo.
Strictly by reservation only.
Apo karibu kuna embasies na consulate kadhaa wa kadhaa. Ukipita apo unapata prado na Noah zimepark adi madere wamengara.