Arsenal
1
Hehehe. Kumbe huyu mujamaa bado ako kwenye mtandao?
Ukitaka kujua handle ya @patco angalia topic. Hiyo jangili hupenda sana politics na history.
Sahii anajifanya ni muchinese hehehe! Anajiita @Ma_Xiaonan
Cadence ni ile ile ya jangili @patco
1 Like