Hapana tambua kuweka video huku.
[MEDIA=facebook]10207602763737024[/MEDIA]
4 Likes
Acha bangi buda
Nikee Muthurii
hii vida tuliona mwaka gani sasa??
I know ni ya tene saana,kujukumbusha sii mbaya
Weka TBT kesho basi
2 Likes
:D:D:D:D…Hii ni menu ya kujua ni nini umewekewa binguni.Ukiwa hapa unaitisha. Love this.
Sio kila mtu alisoma na Kihika Kimani
1 Like
Goga goga murago…huyu angeongea kigreek tu akuwe na interpreter
:D:D:D:D…Ati yeye hukula sadaka juu ni jasho lake.
1 Like
[QUOreal Kenya post: 374105, member: 562"]Sio kila mtu alisoma na Kihika Kimani
[/QUOTE]
The real Kenyan He was love and hated in equal measure