Password Unlock for Zipped files

Vipi wazito,

Nime download game flani lakini niki try ku extract inauliza password.

Any helpful leads?

Ulifunga shule lini ??

Try the website’s address

Uko na vidole ngapi?

Wachana nayo. Probably hukusoma comments za watu na instructions kwa hiyo File. So wachana nayo tu

Vile @Deorro amasema, always read comments na instructions. Unaweza download several Gbs baadaye uwe disappointed

1 Like

instructions ni muhimu…