Watu wa Checki Maneno hebu confirm. Ikiendelea hivi, by 2030, Karura itakuwa imebaki ka-quarter acre pekee.
Correction.
Not To be Grabbed Soon.
Tis Already grabbed.
@Mkufuu na @The.Black.Templar tutahamia wapi? mimi naogopa kuendesha kwa barabara
Was been
[ATTACH=full]17768[/ATTACH]
When you have famous land grabbers in top positions, thatâs a no-brainer. Hata Uhuru park itaenda. Nyayo error reloaded.
The thing is, the forest between Dagoretti and Karen is Lenana, not Karura. 2, iyo fore imekuwa ikimangwa since before I was born, most recently wakiexpand barabara. 3, hakuna kitu mbaya kama mwafrika kukata miti alafu kuteta juu ya njaa.
Grand Mullah is an overrated lawyer.
I find it funny that a whole senior advocate uncovers massive corruption and chooses to post a tweet rather than lodge a case in court,
#sadnessoflife
na bado,utampata aki represent the grabber in court
he is just the broker in the market, ukileta mbuzi hataki kujua kama ni ya kuibwaâŚ
Hapa tutangolewa nywele kama Professor Wangari Maathai tukipagania msitu wetu.
Malenga hapo umenikanganya kiasiâŚnilifikiri mwitu ni âwildâ hali msitu ndio âforestâ ama "woodsâŚhebu fafanua tafadhaliâŚcc @xuma âŚ
Hujakosea Kaka. Msitu ni mahali kuliko na miti mingi na vichaka ilhali neno mwitu lina maana sawa na âporiâ ingawa nimeona matumizi ya âmwituâ yenye maana sawa na msitu. Wacha tumngoje @xuma. Kwa sasa nafikiri msitu ndilo jina lifaalo.
Hebu fafanua neno " tukipagania" @Mkufuu
@gashwin , @Mkufuu ako sawa:
Mwitu (umoja)- Miitu (wingi) humaanisha âforestâ, âwoodsâ
Mwituni humaanisha ândani yaâ au âin the forest or in the jungleâ
Msitu humaanisha mkusanyiko wa miti mimea ya aina yake. Kwa hivyo Msitu pia ni âforestâ ama âwoodsâ
Kichaka/vichaka ni what we refer in English as âshrubs au bushesâ.
Wild ni tofauti kiasi sababu kwa Kiswahili tunasema âkokoâ. Kama vile âmbwakokoâ wanaozurura ovyo.(âŚin the wild).
Pia âWildâ kwa Kiswahili humaanisha âPoriâ. âWildernessâ-âPoriniâ ndiyo maana twasema âWanyama Poriâ yaani, âWild animalsâ.
NB:Samahani imenibidi nichanganye hizo lugha mbili ili tupate kuelewana moja kwa moja.
Wacha tu tungoje @xuma afike atufafanulie hili jina TUKIPAGANIA.
Natumai @Mkufuu hakudhamiria kuandika âtukipaganiaâ bali ni utelezi wa vidole kwenye vibonyezo vya tarikilishi au simu yake ya rununu. Huenda alimaanisha âtukipiganiaâ yaani âto fight overâ(juu ya) au âto fight on behalf ofâ(kwa niaba ya).
Xuma ameshawaeleza kikamilifu siongezi lolote lakini asanti kwa kunikosoa.
Nakubaliana nawe ila neno mwitu laweza kumaanisha âwildâ. Kwa mfano; nyasi mwitu, paka mwitu au umbwa mwitu.