Paragasha, Fauzia Saumu (cont.)

MM think I have told you this many times. The Coast ndiko ni-retire and I see myself doing business hapo Kongowea Market. Don’t know why I smell money sana when I am in that area.

Talk of loyalty.

niaje mami

Niko sawa Mdaddy. How have you been keeping?

musuri sana ambia early man meria mata awache kutupea hekaya kama dawa ati 1 X 3 na maji mingi nkt!

Ngai, I hope The God of Kipchoge was with him…

It seems ni hekaya ndefu so if he does not do it in bits we will lose interest. Ama pengine ako juu ya ‘mnazi’…lakini wacha tu-VORROW pole pole…

Weeee kadere asiii,malizia hekaya

Hehe, moto kama pasi. na ni kama umeona mengi sana Ancestor MM

I like the way he is drip-dripping it. Giving us space to visualise hii manenoz. Naenda na piga pasi, narudi ku-checki…naenda na-pika narudi ku-checki, na-enda na osha choo narudi and so on…

niaje uwesmakei, huezi jificha

umeskip a few threads,cheki hapo chini noogle hii

sijui unasema nini.

Halafu Katana akakuambia muarabu amepata habari uko sokoni sasa anakuja na clan mzima with all manner of crude weapons…

Romanticizing kabisa…bread was not one bob…

:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D