Paragasha, Fauzia Saumu (cont.)

PARAGASHA

Mimi kwisha

Wakti maisha yaendelea poa your enemies are working overtime kukuweka chini, mie hapo was earning 500 per day kazi ya ubroker sometimes even 2k but 500 was guaranteed, economy ilikua juu so was a mirrionaire, soda was 1 bob, bread 1 bob, tusker export 3bob, bangi was free juu ya kuwakunjia koloboo, this was before Goldenberg maneno kuharibika, with so much time to kill kajipeleka driving school ili nipate license, within a fortnight ilikua kwa mfuko, BCE ile kitabu na karatasi ya red, asking why its red kaambiwa enda ua watu. Saitaans gave no ferk

After kukamua Saumu one night akanionyesha scriblings in her book, mschana alikua amenipenda yake yote, kazisoma kajishukuru na kumkamua shot moja ya nguvu. Hio siku si kuoga, was hugging my pillow niskie perfume yake.

Asubuhi kaa kawa mimi huyoo 4:30am nimetoka kwa nyumba nifike kongowea by 5am, was expecting my subcounty canter ilikua na mzigo yangu lakini kwa lineup sikuiona, maich deree in another canter kanishow gari yangu aliiacha makindu ikiwa kwa accident, no way I could call them nijue walivyo na mzigo itafika saa nga kaingia sokoni ndani, waah, hema yangu ya kufunikia stock ilikua imekatwa, half the mbogas were gone, kwani niko na nuks gani leo, kajiuliza, wezi walikua wameibia watu wengi sio mimi peke yangu, anyway tukaendelea na kazi kaa tuko na hasira na mauchungu.

Around saa tano there was a scream, a mwizi had been caught redhanded, we all rushed there, acha tufanye team building, after 5 minutes the poor sod was mortuary material, nikirudi kwa kiwanja yangu touched my pocket roho ikasimama, my bundle of the days sales was gone, huku nikichangamkia mwizi had been picpocketed, (2k) Ngaaaaiiiii, pesa ya wenyewe, sasa mimi nifanye nini? What a day for me, could it get any worse, kwani nilikua nimekosea mungu na nini. Canter ndio hio na accident, mali nayo ilikua imeibiwa usiku then nikapoteza 2k to a pickpocket. Was in a foul mood kaenda huko kando kwa makaburi (yes Kongowea market is built on an old cemetery) kaasha kolomboo moja nifikilie vizuri.

Katulia kidogo went back to work and by time soko ifungwe had some money to give my sponsors, hawakulithika but haithuru, kajua next time hawanipi kazi. Kaa kawa tukaenda uwanja wa mbuzi for lunch alafu nikajitoa kaelekea home. Kabla nifike base ya shada kwa chocholo I met Katana, katana was a dobi, ndie alikua anatuoshea nguo pale kwa plot, he had a worried look on his face akanishow “Meria usiede home” Ngai wakwa hii ni nini tena?

Kamvuta kando kwa chocholo anipe habari vizuri, wueh. Saumu alikua ameshikwa na barua she had written to me, alikua amechapwa vilivyo akatoboa sili zetu zote, na Fauzia je? Mama alikua amenotice morning sickness pia naye akawekwa kwa mix, walikua wamechangamkiwa viproper and wakapeana story yoote. Katana told me their dad was raving mad na alikua ameita ma cousin brothers and walikua wananigojea, akasema ata nisiende base, the same same guys nilikua na sanifia bom were waiting to capture me. Had to think fast, chap chap kapatia Katana funguo za hao, “go and get my radio and my clothes” I told him. He agreed but at a cost, sisi hao tukaenda, I stood at a safe distance nikiangalia matukio pale dukani, there was a group of like 15 people who looked very agitated, saw Katana get in the plot through the back door and then heard a scream “HUYU HAPAAA” a mswahili nyanya had seen me from her window akaniitania.

Ngiigirira ndira chainde, nilitoka hapo na gear number 6, my chasers nao walikua na nia ya kuniactia, thank God I knew chochoro za kisauni, nilikimbizwa hadi mshomoroni na huko ndio niliwapoteza, got in a matatu kashuka lights kaingia ingine ya reef and went to nyali beach where my guys wa miraa wako. My heart bado ilikua ya dunda on overdrive.

Hehehe endelea

:D:Di can relate… Hao waarabu ibo wangekuua. Good thing ungekimbilia mosque useme wataka kuslim. Best survival mode.

Yaani after all those years,and the pretenses,you still need kulishwa Kiswahili na IV feeders. Haki ya nani…

:D:D:D:D

waarabu pure breed kina hoho marry their cousins, kuskia mtu anakatwa na pure breed wana catch sana.

bread 1 bob, tusker export 3 bob.
You must be a dinosaur man!

ancestor meria mata

my fren Y2K ndio iliharibu mambo, in 92 we got the 500 bob note ikaitwa jirongo (siunajua shida zake saa hii) then came goldenberg mambo ikaenda downhill
cc: @spear

Nitasoma hii yote later after hangover and church.

Ni noma basi hehe

Gave my guys the whole story over veve tukakubaliana siwes rudi huko, vitu za nyumba kawashow nimetuma Katana na maombi yangu was iwe amefanikiwa. As if nothing had happened tukachew mpka 9pm hapo kwa beach then headed to maweni. Pesa ya kazi ilikua kwa mfuko so had no worries apart from 3k nilikua meficha under the mattress.

Asubuhi kazi kaa kawa kuuza mboga na bidhaa, used to shout myself hoarse to attract customers, TATU TEN TATU TEN TATU TEN, three mbogas were going for ten bob. Saa inne hivi kaona katana, God bless him, alikua ameniletea bag, my autoreverse radio na one speaker was there + nguo kiasi, best of all alikua amepata ile 3k under mattress akanipa, bila shida I gave him a K, kamuuliza how did it go nikapewa uhondo wote, Fauzia was paged by me and so was the form four candidate Saumu. They had been spirited to Lamu usiku for the family to cover the shame (taimajini, yaani kukula muarabu pure breed ni shame)

Thanked Katana so much kaendelea na job.

Half an hr later he was back, running as if the devil was after him

Endelea bratha, Hadithi iko chonjo.

Too bad things took that direction.

endelea sponsor. kama wangekushika ungefirwa mkundu… saitan… maliza hekaya

VC you are now exaggerating and romanticizing the past. Lakini hekaya of course ni ile grade tulizoea hapa kitambo, top shelf!

This hekaya is lit…

fossil mwenza you know when money was money

:D:Dhekaya iko timam

Lakini umenipoteza…kwani ulikua unakamua both of them ama uliendeleza ile.hekaya ya jana. Wapi missing wrink

Uyo Katana alikuokolea sana, and it seems still alikuokolea. Endelea na hekaya kizee