Panyaste..

Mbona hamkufi kama wengine…
[ATTACH=full]294392[/ATTACH]

Nashuku hawa watu wana hio dawa but hawataki kusema. Hio ndio rumors nimeskia kutoka Berndora News Network (BNN) ya akina Blaze and friends.

[ATTACH=full]294397[/ATTACH]

Naskia the same stories kwa ground. Let’s wait. Unajua hawa watu utaka kuwa sure na kitu before releasing it. Lakini what shocked wajeru is the latest news ya Germany ilienda na top class planes and flew affected Italians to ujeru for treatment. Public sasa inaambia gava iseme kama wana dawa.

Even CNN is wondering
[MEDIA=twitter]1244187815442894849[/MEDIA]

Lets keep our fingers crossed

Wako Na dawa Na wamekufa 53 people

Look ata the infections Vs death…

Total death 403. If they had a cure deaths would have been very few like 20 hivi. Germans are not known for goofing around with inventions.