Naona umejaribu kuwa ‘Mr. Finest whine’ na kathread kako kakamalysia.
What happened to the village of ktalk rebel rousers?
Naona umejaribu kuwa ‘Mr. Finest whine’ na kathread kako kakamalysia.
What happened to the village of ktalk rebel rousers?
Wacheni jirani ajibambe, kijiji hakikosi pastor na mwisi na pokoste.
Na walevi na wendawazimu.
Its an all round village.
Na wala kuku imeungua
Na ravas
And not forgetting the ones who suffer from gender identity crisis.
:D:D:D:D
:D:D kwanza hawa ni kibao
Mutheu unasema panyaste aka pokoste ametoroka bila kulipa bill??
Hi @Nefertities
wewe @pseudonym chunga sana. before u mention the name Panyaste unafa ushatoa ngotha umevalia kwa kichwa ukuje kunipanulia.nina kuheshimu siste lakini ile ghasia takataka ya london mm apana tambua.
again dont provoke me mresh,am trying to be at my best behavior,ghasia
nimepewa last warning bcoz of that thread
Enyewe imejaribu
Niaje sahiwal?
@Panyaste ,Pakaste is waiting for you in London,Nakuru.
Threads Kama hizo unascreenshot faster faster for further reference
I have no beef with you @Panyaste , but that shit was funny AF.
I was gonna post a caution for you kwa hio thread but nikapata haiko.
And clearly I couldn’t inbox you coz your fame precedes you in such matters.
Keep on trying to be on your best behaviour.
Afisa kula hongo za finje porepore bila kusumbua.
Ndio niitwe menopausal ho tena?
Ama nirushwe equator na idi admin.
No thanks.
Ungemwita aurochs au fleckvieh
Leo kuna nini? Nilikuwa nimelala. Wacha niamke