Pangani Shopping Centre:MYSTERY OF THE CODEIN SYRUP

Niaje washikishaji/wachongaji/watafunaji wa VEVE… najua wherever you all are at present kanawashika mbaya sana… kuna hii story nimenotice hapa pangani shopping centre na ndio imenishangaza sana.
Ni hivi:almost kila mtafunaji mairungi lazima atakuwa na chupa mbili za liquids:
(1)maji 1Ltr
(2)Soda:Always Black Currant 0. 5 Lts:Hapa ndio iko maneno:imechanganyishwa na CODEIN SYRUP 200Mls chupa nzima!!, for maximum SHTEEM!! !

Wengine wanakata shamba mpaka na mosquito coil. Anauma akitafuna kama Ile puru/Patco ya white!!

Hii yote bado haitoshi:bhangi /ndukulus/ pamoja na tap tap/bugizi pia ziko in the mix na kichwa ni hio hio moja!!

Noticed another pharmacy has opened shop in the same vicinity. Sasa ni
Mbili na they operate mpaka asubuhi. Biashara kubwa ikiwa ni hizo CODEIN/ TAP TAP /VIAGRA/VEGA.

Mapoko pia wameongezeka sababu watu lazima KIVUNJIO!!

Ukiona watu vile zimewashika utafikiri ni zombies! … Hizo vichwa ziko speedy ya Ajabu!!!
No wonder machizi wameongezeka!!!
Mostly ni wasomali!..

Ni SHTEEMU/HANDAS level gani hii inatafutwa jamani!!!

Ustaadh mabenda, kuna ambacho kipo na hatukijui??

Kiulisio tu!

7 Likes

Nataka hio codein syrup…inauzwa wapi na pesa ngapi

Wariah wanapenda hiyo sana pamoja na ingine inaitwa Diaspam(sp)

codeine ni mambo serious nishawai try watu wali ingilia bei ikapanda from 300 to 550

@biraru ulizia benlyn with codeine iyo ndio serious

:D:D:D:D:Dati mosquito coil

1 Like

Mosquito coil ni ya nn

ni unatumia kama njugu

Nunua cough syrup ukunywe

Unaweza kutudescribia how was the feeling baada ya kutumia… leta hekaya!

Hehehe. That is real messed up shteeeem. Like fo real watu wanakula mosquito coil.

Wanatafuta arithmetic au geometric progression ya Aire/ High. The present High must be at a higher level than the last one. Consequences be damned!

1 Like

Miuona boy wengi wakitafuna na zile taptap za machizi, niko na boy saa hizi anakata gomba na taptap,Legend na ndukulu, siku ka leo wife wake hataki kumuona juu anawekelewa vitu ni kama gang-rape.

1 Like

[SIZE=5]Possible side effects of promethazine/ codeine syrup:[/SIZE]
… most COMMON side effects persist or become bothersome:

[INDENT]Blurred vision; constipation; dizziness; drowsiness; dry mouth, throat, or nose; headache; nausea; tiredness or weakness; vomiting.[/INDENT]

SEVERE side effects may occur:
[INDENT]Severe allergic reactions (rash; hives; itching; difficulty breathing; tightness in the chest; swelling of the mouth, face, lips, or tongue; unusual hoarseness); abnormal thoughts; agitation; change in the amount of urine produced; confusion; fainting; fast, slow, or irregular heartbeat; hallucinations; loss of coordination; mood or mental changes; muscle pain or stiffness; overexcitement; seizures; severe drowsiness; severe or persistent blurred vision, dizziness, headache, or lightheadedness; slow or irregular breathing; symptoms of infection (eg, fever, chills); tremors; uncontrolled muscle movements (eg, movements of the arms, legs, tongue, eyes); unusual bruising or bleeding; unusual sweating; vision problems; yellowing of the skin or eyes.[/INDENT]

The ones in red are all associated with a “high”/“steam”. The last underlined one is the opposite of shining eyes! :wink:

Are you guys serious? Ati veve na mosquito coil?

Who would want to ferk such a guy? I imagine his looks, smell, teeth, …yak

how can you ask such a question?

How are your fellow men posed to know?

Do u ferk guys?

Nishawahi try cough syrup iko na promethazine na codein

Aki everything slows down

world ikawa peaceful

hufeel heartbeat

Seriously, i thought i would die

Peasants entertainment

1 Like

Hio mambo ya kuchana ilinishinda., nilikua naumia mdomo sana after chewing.hakuna venye hizo vitu zinaeza siagwa mtu akunywe ka juice, ama steem itaisha