[ATTACH=full]159242[/ATTACH] Wakubwa, recommend a good place for this. Preferably along Mombasa Road.
Try Panari or Eka Hotel. They’re a bit pricey though but they’re good.
not a hotel, need my car fixed
I thought ni Dame unaenda kupanel beat. Enda hapo entrance ya South c just after Caterpillar.
Ukitaka kazi mzuri enda corner huko ngong road… Utapigiwa kama gari imetoka cmc
:D:D:D:D:D
Nani walikufanyia ivi
A drunk reversing
Iza Buana…mimi yangu gate ilipigwa na upepo ikaniwasha…nway nlinyoroshewa na specialist
Iza man. Got it sorted too