@pamba Achia Vijana Kazi...

Omwami kubali tuu umezeeka, it’s time to go home ama bado unasema wewe ni boychild? Uligawia huyo mother hapo nyuma kitambi nini?

[ATTACH=full]180124[/ATTACH]

:D:D:D:D:D…afande mzoeano imezidi.

Afande ni sharp shooter…

Afande labda apewe kazi ya kufukuza kobe kwa shamba. Huyu afande mwizi akamkoholea anapata heart failure.

:smiley:
Kitambi concave.

Huyo jamaa ametoka kimilili deep interior unapata ako 34 pekee.

Quadri ako 30 na anafanana na Jirongo. ABBA pensioner hata usiulize…

@Abba is only fifte years but anakaa ule mzee muethiopian tulileta tukifikiri ni Gen Mathenge.

watcha msee afanye waks

Lema ayash

Huyo. Lema Ayanu

Alifanya watu wKanukisha tunguu

In police service age is determined by number of teeth. As long ako na meno ya kukula hongo he is still young like a tod

Labda meno zake ni dentures, juu wenzake wanamea vitambi after 2 years in service, yeye na 67 years as a cop badala kitambi kunona inakonda.

Omwami denture akisneeze akiwa patrol si zitaanguka washukiwa watoroke

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D this is mean.

Enyewe nyani haoni kundule na wewe huoni your convex kipara:D:D