Pale Rongai paka wa nyumbani wameenda kupatrol streets

https://x.com/i/status/1873436767589912853

Rongai huwezi tembea usiku hujui utakutana na nini. Na vile hizi lions hua kubwa.

Ukihepa Simba unakutana na @johntez_addi_gaza_ms

3 Likes

Afadhali @johntez_addi_gaza_ms namweka vibare lions zinapata nyama iko ready

1 Like