Pale Njiru Premium Tears Loading

And we shall be there irregardless

3 Likes

Hapo itakuwa vita kubwa sana…
Kirima hawezani na hao wajaluo who were given the go ahead by the then lands minister Orengo.
Unless he goes for alternative dispute resolution.

Hii maneno ya thugs forming “companies” to illegally sell land ya wenyewe must be stopped. You saw how some kamba thugs formed “Aimi a Lukenya society” to sell portland land to the public. Hii ya njiru some mluhya formed “Naridai moroto group” to sell 1000 acres of the kirima land.

Auzie bigman kwa serikali hao jaluo waone kivumbi hawajawahi ona

4 Likes

Huko ma broker wajaka humalizana wenyewe kwa wenyewe

3 Likes

Wasn’t their leader shot dead a few years ago In Doni or ummo. Kirima family should look for big man wauzie yeye hii shamba

2 Likes

Yeah he was shot just as he was preparing kuenda chini ya maji huko Nyanza

1 Like

My cuz is one of those brokers who have eaten Fat of the land hapo njiru, hio area watu watalia machoos… since hio land ya Kirima has been sold out since 2004.

2 Likes

What the Kirima can do is sell the land to the government at a discounted rate. Then now the grabbers will be sitting in a government land. Watatoka wapende wasipende.

1 Like

A 1000 acres in Nairobi, hiyo ni league ya very few individuals in .ke. lakini Ruto atanunua chap chap.

5 Likes

That land even has quarries ran by mungich gangs. Very ruthless types

2 Likes

Many years ago i worked at the Njiru Slaughter house. Njiru ilikuwa Kiwanja until Kirima died and the land got grabbed. Sasa kumejaa mijengo kila mahali. Last time i tried to access the slaughter house and i got lost . Watu wengi pia wameuana hapo coz ya mashamba. Am following to see how this pans out. Kuna wakubwa wamekula sana hapo. How will they evict thousands? Wale wajanja walinunua na kuweka foundation ya nyumba na kuwachia hapo …just to secure the place. Mafala wamejaza maghorofa hapo. Unless they buy again from the Kirima naona machozi hapa.

4 Likes

Kununua shamba Nairobi ni kama kubet na roho yako

1 Like

Maumbwa wafurushwe, impunity must stop. Huwezi ingia shamba ya MTU na ujenge bila title. Wacha iwe funzo , don’t buy land without a genuine title . Nairobi kununua shamba is a no

2 Likes

Noma
image

kanairo
image

1 Like

ati Kirima ndie mwenye kahama and the red building. wacha nicheke tu

Irony is Kirima pia aliiba.

Hakuna pahali watu wanaenda