Pale kijijini

I am a happy man. Jana Nimefika Kwa village napata jubilee imeweka lami. Kiangari–Ndakaini road. Before that,another kichochoro to Murang’a North, Gacharage–Kangema sasa ina lami Pia.

Two years ago a local school was raided Hapa Kwa village ,Kisii watchman was killed,stupid thugs were after textbooks. Shiny eyes SMH. WaKisii Ni Nani, Mara iyo iyo, I heard they had buried a torch during his burial,na Ati ikizima the killers wanazima Pia. Funny thing, after sometime one died,the other is insane,mwingine sasa ndiye Nimeona Juzi his toes had started rotting hadi he was amputated,one leg. As of Jana hana zote mbili. He moves around in a wheelchair begging. I asked why he just doesn’t stay at home nikaambiwa that’s to send a message to all shinny eyes. Btw hawa WaKisii Ni wengi hapa Murang’a wanashangaza.

Nikiwa Kwa mpesa buroti a mutura guy comes na gikware(1000/-) asking the cashier for change,jamaa akasema anataka fifty mzee mzee Za mia Saba na coins Za soo tatu. Kuulizwa Mbona akasema githuri(mzee) na gita(kitumbo) amenunua mutura ya mbao Alafu akaangusha thao na madharau. Revenge. Nilingoja kuona huyo mzee, I stamped his decision,juu Huyo mzee woi,sio Mara ya Kwanza kufanya mambo Kama haya. Kuna Kumi Nilipewa Mahali imebondeka vibaya hata Mimi nilimpea.
Alafu kuna MCA aspirants 40-50. Wote na Jubilee. Hata kuna a woman running,bibi ya brother yake is running too.

Ni hayo tu Kwa Leo.

14 Likes

value addition = 0

That was not my intention

2 Likes

Hii MCA kila mtu anavie for it

umetoka Kiguoya!?

There’s a woman who’s not very sane. Juzi ameuza inheritance she got from the father,anataka kurun for the seat. Anyone and everyone is running.

Kiguoya Apana. But Kibendera Ni gwa cucu. Gwitu Ni githumu

2 Likes

Hapa ndio watu wengine wataunda doo

The current MCA,young mjamaa was a friend before he got there. He’s never seen around,kazi Ni kubadilisha gari Kama socks,hata bursary ya 5000/- wanakijiji hawapati,bure Kabisa. Effort haweki at all hii roundi

My uncle… a very young guy alijaribu last time vying for that McA seat na akapata he is a simple guy and never changed his lifestyle gari ni ile tu alikuwa nayo kitambo

Huyu Ni mtu sasa. Wengine hapa Ni unugu tu.

Sisi tutawachuja kama wapiga kura.

Lazima unajua canteen na makuti. :D:D

Canteen Kwa nyina WA Jesse, mama WA nguo ndaihu na makuti Kwa maina WA Kamau.(still running for MP) that place around it imemea Sana

Rambling tale but a bit nice.

Picha

1 Like

Lakini jifunze kuattach picha priss