Paint less dent repair

Any recommendation to where i can get this done in Nairobi please?

Muhindi atakuua aki ya nani:D:D:D. Godspeed sir

Uko pande gani? Any place with garages hawakosi guys wa rubbing compound na wanalipisha mia mbili tu

Thanks,i know of rubbing compound and that soft sand paper but what am looking for is this. Yaani body inaingia ndani kiasi nataka irudishwe to the original shape.

Haha

Nmepata majamaa wengine pale fb,sent the photos of dent na nkapata quotes. Ata sikuezapata nguvu ya kureply. 10k and 7k for respectively [ATTACH=full]333679[/ATTACH][ATTACH=full]333680[/ATTACH]

You must be a perfectionist. Mimi sioni dent hapo. This car is perfectly fine for Nairobi Traffic.

Dent zinafaa kukaa kama za zamzam ama paradiso ndio ufikirie kutengeneza

Am I blind? coz I dont see any dent there. I notice you are a perfectionist

Wacha tu. Ile siku atapata dent after kuguzwa na gari za Kayole na Githurai ndo atajua

Ni lazma uandike number plate msee? Tumia akili bana!

It’s true ni kidogo,i just thought it cheaper since i wont need paint work but nlipoambiwa hiyo doo nkaachana nayo

Paintless dent repair is the best approach especially if you want to keep the original paint. Shida ni vile it is too complex a technique for bonobos to perforn.

Umetuwekea number lazima tukujue…mimi natafuta mkia ya weekend bana