Padlock legit

Padlock gani msee hawezi ifanyia Ile kitu. Niko na store mahali kwa site na sitaki kununua material tena.

Israeli made MULTILOCK

5 Likes

Nitaipata wapi na ni mangapi, siku hizi Kuna oriji na imbo

1 Like

Enda Assa Abloy nyuma ya London Distillers upate locks origi. Anywhere from 15k to 36k but kama store ni ya mabati nunua Onion padlock ya soo

9 Likes

Naziweka kwa a single room mahali, ina mlango ya chuma, ni keja ya mawe but ni place naendanga weekends pekee kama kesho sasa

2 Likes

Tutaingilia kwa paa,jaluo tumia akili

9 Likes

Sasa mpande juu mpitie kwa mabati kuniibia wheelbarrows, vijiko, simiti kadhaa, na kadhalika ya ujenzi jameni!! :grin:

1 Like

Hata hio mabati tutangoa hatutawacha,ama tungoe hio mlango hio padlock ikiwa intact

3 Likes

Nikatembelea Michelle Ntalami halafu nipate kifuli ya Mindy ama Tricyclic kwake siwezi simamisha.

1 Like

Hio Mindy iko aje

Inaeza kuliwa Na mchwa. Mbona ununue tv ya 90k Na soundbar ya 70k uweke kwa nyumba yako pamoja Na certificates zako kutoka shule za mabanda zilizo maeneo ya Thika Road halafu you go ahead to secure them Na kifuli ya 250 sourced from a kikekuyu hawker based on River Road? Sijui kama unanipata?

6 Likes

Ni padlock ya store kaka

Sikuizi kina @johntez_addi_gaza_ms wanabomoa ukuta.

5 Likes

Viro cylindrical
Endorsed by Kirinyaga Road and Luthuli Avenue business owners

If you want form, nunua hata ya soo sii bora gondi ataona mlango imefungwa aende zake but if you want function, cheza na kifuli ya kuanzia 1500 na kuendelea. Chini ya hapo mwizi akikuja na manyoa ya kuku halafu he tickles your padlock itacheka mpaka ifunguke yenyewe. Unaona hio maneno?
An often overlooked factor in securing doors is the latching mechanism. Design mlango inafungukia ndani hence hinges are hidden on the inside so msee hawezi kata na grinder. Halafu hio shimo ya kifuli weka style msee anaweza ingiza mkono moja pekee mpaka karibu na elbow na hakuna space ya kuingiza mkono ingine Iko na hacksaw kukata. Mabati nayo cheza na gauge 16 au zaidi. Such a design eliminates over 90% of the opportunistic thieves.

7 Likes

Tricycle iko Sawa, but one of the larger ones

1 Like

2 Likes

I have that YALE lock. It comes with a Special Card that has a serial number of the padlock and that model comes in pairs.

That card is required while trying to replace the Keys.

3 Likes

Huyu tapeli hawezi fika bei

1 Like

Pokot warriors hatunanga hii shida. Tunaishi pale suguta kwa caves by the narrow slopes overlooking the crest. Na tunapadilisha “crib” on the daily. From one mountain ridge to the next mountain ridges.

2 Likes