P Funk a.k.a. Majani

ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.

huyu Jamaa mimi hufeel yeye kuwa the best Hip Hp music producer #Bongo Records

He should be recording kina Method man, nas E.T.C pale kwa Trump

[ATTACH=full]160052[/ATTACH]

https://www.youtube.com/watch?v=Vrv3el8Y-x4

https://www.youtube.com/watch?v=H2WFMEYKwzc

Heheh Bado FL studio iko?

Mimi natambua motif on the beat pekee

https://www.youtube.com/watch?v=4DGIHqbu8Ww