Oya, @Kush Yule Mnono..Wacha Leo Nikuibie Siri

U did’nt hear it from me sawa? While u were away ule galdem wako wa randan a.k.a mrs.youtube alikuwa anamangwa na @Freestyle .

Picture evidence
[ATTACH=full]191642[/ATTACH]

Wacha nikushow vile ilianza, Ilikuwa kitu 10pm on a weekday when your gal posted her usual upussi music threads from youtube. On this day ilikuwa romantic videos na kama kawa ali @ freestyle. Huyu gal amekuwa akiwinda hii fala but he does not get the signs but on this day aerial ikaamuka kama vile maskio ya doggy uamuka iki sense mdingo. Boyshaod haku waste time…galdem akirusha romantic video…boyshaod inarusha(ilikuwa tupa nitupe). Ilikuwa tuu ni thread ya hao wawili but little did they know karadar ako radar… Kidogo kidogo flirting ikaanza. Bahati mzuri ama mbaya galdem wako was visiting Kenya from London and happened to be in the same neighborhood na freestyle.

Walikatiana alafu wakaambiana wakutane hio hio usiku.

You did’nt hear it from me @kush yule mnono …lakini izaa bro…i can feel the pain

:D:D:D wacha uchokozi

woooi Miss Finest Wine :D:D:D:D

Huyo si @Freestyle

Mungu pris nusuru boishaud!

Midget ya Germany nikikushika nitakupiga kibare ingine hujawahi ona

@KaRadar_ naona ndo juu amekuwa jeuri, hajashtuka vyenye mzee amerudi kwa boma. @Freestyle hebu cum kiasi ama nkutumie Michael Oyamo

Boss, ulikuwa wapi tangu ni officiate wedding yako na @Mrs Shosho?

https://i.imgur.com/0HCPE9q.gif

Hehe @kush yule mnono si unajua mimi ni mtu maheshima , kwanza nimekungwaya sana vile wewe huchoma mpaka manyau , tena nimeona ukisema unaweza kalia Mchinku adedi, weh kamua tu ngamia bila wasiwasi , ma boundaries ziko tight

Padre, its a long story. Tapanga ghahawa ya jioni somewhere in town nkueleze kila kitu, sawa

:D:D:D:D:D

Ndio huyo Kush na Freestyle dancing before the duel but Kush anaanguka even before kianze

https://www.youtube.com/watch?v=5WaWni31qis

:D:D:D

Hehe … nije CID

We still need to meet kaka braza, ndo hio dermacation ifanywe vpoa

Yaani mse amemangiwa dame? These bitches aint loyal kweli

Upuss :D:D:D:D:D:D

Cheki hiyo smailo[ATTACH=full]191665[/ATTACH]

@kush yule mnono I think @Freestyle hajui vile ulifanyia Davie huko magadi after akumangie dame kwa tent kama umechew.