[MEDIA=twitter]1544684342663958531[/MEDIA]
Looking now at baba, the once upon a time political behemoth, talk to a crowd like this…ata inahurumisha bana. No content kabisa, nada! Ati sasa ni kusema JSKS is a fake kalenjinga…hana content ingine kabisa? Si ata angeita Martha aseme kitu kama yeye hana?
Wallahi it’s embarrassing seeing baba and co score these own goals
Alikua serikali lakini sio ofisi, ndio maana M alishikilia