https://pbs.twimg.com/media/FCnpqJOWUAUpxJF?format=jpg&name=medium
Punishment poa yafaa kuwa kitu kama kuosha public toilets, enye itacost mtu heshima zake, wacha pesa, pesa imekua common sana kila mtu ako nazo siku izi, watalipa tu ata mkisema 50k
Askari atakula 3k hiyo story inaisha
Rironi Mau summit iishe haraka upesi, lakini kabla iyo barabara iishe watu takua wameumia sana
Mimi kama professor nitaosha choo bila wasiwasi. Hamna shida.
3k ama mia tano.
mkubwa nirushie alfu tano ninunue Jameson baridi. tupatie Ruto kura
Traitor.
Mia tano kama ni boda boda unaendesha
pesa tunapea wenye washachukua wheelbarrow
Funny thread… D- siwes pitisha mia mbili…just usimpe funguo…license anaweza kaa nayo
Fine ya juala ni 20 M bado tunazibeba ! Kenya is a lawless land bila enforcement hii yote ni BS