Elders, bangi ni kitu hatari zaidi. Usipochunga, hiyo kitu inaweza kugeuza ukawa mwendawazimu.
Kuna huyu muluya anaitwa Eunice Naisula @poyoloko. Jangili imekuwa ikivuta bangi tangu akuwe keypii mwaka 1946.
Juzi, Mheshimiwa rais Ruto alizuru eneo la Busia kusikiza mahitaji ya hasoras.
Nugu @poyoloko akaanzisha speeches, whilst under the influence of High grade Bungoma Kush.
Needless to say, it was a disaster;
https://www.youtube.com/watch?v=gPt4luuhPOc
As the famous Luhya proverb goes: Bangi sio mrenda.