Outside of Nairobi Kenya

Hata hiyo ilikuwa njia moja ya kukonjolea case on supreme Court…

1 Like

Kukonjoa ndio nini boss. Badala ya kutype ungetuma recording.

11 Likes

kukonjolea ndio nini mboss , andika tu kisapere yenye umezoea @introvert atatufanyia transleshen

5 Likes

Mùtutho unasumbua. Koja ulale.

2 Likes

:D:D:D
Konjoeni mlale

2 Likes

You guys need to chill bana:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D you’re too mean to him :D:D:D:D:D:D

1 Like

Konjorea:D:D

1 Like

I told you @mututho wa kk hizi vitu zako ni za Nairobi River… Rakini washa nikonjooooe nirare

1 Like

Huu uzi mbona wanuka mkonjo?

1 Like

Tunaelewa matamshi, lakini kutype zii.

3 Likes

Naja kuwaona paka wako…naam wa siri na wa miguu mine.

1 Like

niaje pusssycat lady

1 Like

Utawesa kweli?
[ATTACH=full]134638[/ATTACH]

Ngombe mujinga hakuna kitu ya maana unawesa sema…schupid

1 Like

Nilikuwa najua utasema hivo hivo tu…

1 Like

kuna watu walipitia hapa bila viatu sasa wametuachia harufu

Natafuta mwalimu.

Next time remind me to record…