Out and about

Somewhere in Machakos county. Kwanza kisokorokwinyo akule chipo na kadhalika then nimpeleke akaoshe hii nyundo.

7 Likes

Si atadoze kwa njia? Waru mafuta na Joto ya Machakos ni combination deadly.

5 Likes

:confused::confused:

Mbica itakuom soon

Mpeleke hapo Machakos peoples park. A very cosy placr

3 Likes

Inaitwa ‘Guthambia muguongo’

2 Likes

hio joto ya mayakos kwansa itachemsha mafuta yako alafu ichemshe coomer ya persons… mtakuwa munanuka tu mkarango

11 Likes

Hehehehee.
Kush hii Fala haijakwambia poa.

2 Likes

nawesa kunukisha mkarango madam?

2 Likes

Maliza kulewa kwanza

1 Like

hii fombe hata naeza wacha ukisema yes

[ATTACH=full]43813[/ATTACH]
Hapo sasa

6 Likes

Sasa mkishiba hivi kazi itawezekana kweli ?

:confused::confused:

1 Like

Uta perform kama DJ mfalme.

2 Likes

HII NI UPUS GANI UNAKULA ? KULA UGALI NA NYAMA FRY

3 Likes

My friend, wacha Blue Moon. Hiyo ni live band imetake residence kwa kichwa inaongea.

2 Likes

nimeambiwa naeza tapika liver nikaogopa

2 Likes

Na si unapesa buuudaaa…huku ni piwa nikuom na bike?

Team Pilsner

1 Like

looks like lukenya getaway, next to daystar, athi river.