So, uhunye atafungua Mecca ya 254. The only thing itakosa ni ka’aba
[ATTACH=full]84092[/ATTACH]
So, uhunye atafungua Mecca ya 254. The only thing itakosa ni ka’aba
[ATTACH=full]84092[/ATTACH]
ka’aba ni nini?? Kwani Two Rivers is a religious center or an economic centre??
asking for freedom fighters walio hapa mashambani
:D:D:D:D:D:D:D:D cheza chini kama haujaelewa the pun
:D:D:D sasawa gathee
Hata Mimi pun ni kama tumepitana njiani…:D:D:D:D
He had to grace the occasion. It’s the biggest mall in East and central Africa anyway
kwani hiyo pun imepitia wapi?
hii mall ina sifa itabidi nitembee huko nijionee
Ni kama imepitia manyanja kuhepa jam. Sijakutana nayo pia
Hii mnyama inaitwa pun sijaiona pia