Our KDF in pictures

Those guys have serious equipment. That mentality of theirs of hanging around in the dark helps but also harms

That’s one jet I have to own

[SIZE=5]How much is a can of paint ? Nita wanunulia wafiche rust[/SIZE]

:D:D:D wewe ni fala sana!!! u just made my day

1 Like

Sijui kama ni kutojua ama ni ignorance. Unajua vile maji ya chumvi huwa inacorrode paint na chuma?

Ni ignorance

1 Like

hujasema venye meliza kiviti husalimianazikikutana high seas…21 gun salute

@Jazzman nimeona shujaa akisindikizwa na defender mbili, hapa likoni channel. Saa hii tu. Naenda Denyenye kusalimia Mzee Mwamrizi Gondwe

I love our Navy. Narudia siku nyengine uweke “Our KDF…” Bila KN. Aki twakosana bro.

1 Like