Our KDF in pictures

Last time kwa special niliweka air force na army lakini leo ni navy tupu kwa vile @jumabekavu alisema ataniloga (hii ni lugha ya @Meria Mata ) nisipowashughulikia wanamaji vilivyo

KaTBT kwanza. These were KNS Simba, Chui and Ndovu

http://www.palba.cz/forumfoto/albums/userpics/13199/KNS_Simba%2CKNS_Ndovu_and_KNS_Chui.jpg

Nimewaonyesha KNS Umoja na Nyayo (sister ships) kwa wingi. They were built as missile craft but during the refit in Italy the armament and targeting systems were removed. Before pictures mtapata kwa TimBiTi. The one in the middle is HMS monmouth

https://cmf24.files.wordpress.com/2011/08/fg110108027.jpg?w=600&h=420

https://cmf24.files.wordpress.com/2011/08/fg110108035.jpg?w=600&h=420

Hii hapa ni KNS Jasiri (the new one ile ililetwa the other day) which was built as survey ship and offshore patrol vessel and currently the Navy’s flagship (for now)

[ATTACH=full]49007[/ATTACH]

Hii hapa KNS Harambee II (formerly La Rieuse of the French Navy)

[ATTACH=full]49006[/ATTACH]

Hii hapa KNS Galana (Sister ship KNS Tana) which is a Landing ship or used for coastal logistics…

[ATTACH=full]49005[/ATTACH]

http://www.shipspotting.com/photos/middle/0/0/4/1348400.jpg

Hapa tunaona KNS Shupavu (sister ship KNS Shujaa) sailing past Gibraltar (Yes, huwa wanaenda huko kwote) which were built as patrol ships up to civilian standard then later armed at home

http://www.palba.cz/forumfoto/albums/userpics/13199/KNS_Shupavu.jpg

http://www.palba.cz/forumfoto/albums/userpics/13199/KNS_Shupavu_2.jpg

Sailing past Malta…

http://www.palba.cz/forumfoto/albums/userpics/13199/KNS_Shupavu_3_at_Malta.jpg

KNS Shujaa…

http://www.palba.cz/forumfoto/albums/userpics/13199/KNS_Shujaa.jpg

Defender class inshore patrol boats…

[ATTACH=full]49016[/ATTACH]

Group photo: KNS Nyayo and Umoja foreground, Harambee II in the middle and either Tana/Galana in the background

[ATTACH=full]49012[/ATTACH]

Hizo zingine nitaweka kwa TimBiTi.

Hapa ni wakati the Turkish Navy was visiting wakapeana mafunzo kwa vijana wetu…

[ATTACH=full]49013[/ATTACH]

Hapa tunamuona ES akiwasiliana na mwenzake vile watakuwa mabirrionea wa kuuza pweza mwitu…

Seriously, Kenya Navy Clearance Diving Unit na salvage diver wa US Navy…

[ATTACH=full]49011[/ATTACH]

Hapa US Navy hospital corpsman na marine wakionyesha vijana wetu kile walichojifunza katika upande wa battlefield first aid

[ATTACH=full]49015[/ATTACH]

Katika mafunzo ya kupambana na terrorists na mengine kama Visit, Board, Search and Seizure, hawa Royal Marines wakimuambia Gio wao alalishe kende kwenye deck

[ATTACH=full]49017[/ATTACH]

Wakati Pakistani Navy made a port call at Mombasa walikuja na commando wao, Mwathethe naye pia akaamua kutoa wetu…

[ATTACH=full]49014[/ATTACH]

@imei2012

@bjurmann

@kiLo-

@paparazzi

@1776

@Da Vinci

@leu

17 Likes

Fafanua huo mtambo tafasari…
[ATTACH=full]49022[/ATTACH]

2 Likes

Sitaki kujigamba kifarafara na kuwaaibisha wenzangu wakenya lakini mfanye research ndio mjue Sisi ki navy tulishamaliza kazi
The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78),

[ATTACH=full]49024[/ATTACH] [ATTACH=full]49023[/ATTACH]

2 Likes

Oh, hehe. That’s the oto melara 76 inch gun popular on small to medium sized ships. Capable of firing 80 rounds/min, and a variety of modes such as anti-missile defence, anti-aircraft, anti-surface, and ground support. Can fire armour piercing and high explosive as well.

1 Like

Wacha kujigamba and you can’t afford black hawk helicopters.

Mlishamaliza na bado haijafikia Kenya Navy na DOD ndio wanaanza. Mtaendelea kulia lia wakenya lakini hatuchezi ligi moja. Nyie mko nyuma na mtaendelea kuwa vivyo hivyo na upuzi ndogo ndogo.

6 Likes

Kuweni wapole kaka. Chopper za wenyewe achaneni nazo…hamuwezi-affordi…

NGOMBE YA WENGER CONCENTRATE NA BETS ZA 10 BOB

Siku hizi nimeshuka niko kwa za 1 bob

4 Likes

I thought our equipment was sh*t, Hmm, You learn something new in Ktalk once in a while

2 Likes

@Jazzman pic number 7. Hiyo ni KN kweli?

1 Like

Join the Navy and see the world.

2 Likes

Unaona shield ya kenya mahali?

Do you have to know how to swim to join the Navy

Utajulia huko ndani kama hujui

2 Likes

nime cheki oldmonkey

1 Like

Elsewhere

[ATTACH=full]49030[/ATTACH] [ATTACH=full]49031[/ATTACH]

Cool knife , looking for one

[ATTACH=full]49032[/ATTACH]

2 Likes

ufanyie nini

Just looks cool to own one

Mi ningataka kua dere wa ile tinga tinga inatupia watu Maji wakati ya riots…I enjoy tht

1 Like

Ndio uibie watu simu na Laptops

6 Likes