Our KDF in pictures

A bit of TBT…

[ATTACH=full]46720[/ATTACH]

[ATTACH=full]46716[/ATTACH]

Hapa tunaona akina @imei2012 wakifanya short range weapon qualifications

[ATTACH=full]46717[/ATTACH]

Ile Scania ya wale wazito wa disaster response…

[ATTACH=full]46719[/ATTACH]

Hapa @bjurmann baada ya kupigwa transfer akapeleka pose za choir ya KBC

[ATTACH=full]46718[/ATTACH]

Hapa kuna Nora B52 self propelled howitzer capable of hitting targets 65km away (depending on projectile)

[ATTACH=full]46711[/ATTACH]

Hawa jamaa wamebangaiza kwa kichaka wakingoja kuambiwa rain fire on hao mafala

[ATTACH=full]46713[/ATTACH]

Electrical and engineering mobile workshop

[ATTACH=full]46714[/ATTACH]

Hapa tunamcheki Sergeant @Female Perspective akishughulikia Mi-17 vilivyo

[ATTACH=full]46715[/ATTACH]

KNS Nyayo (ama Umoja. Sijui juu zinafanana) baada ya refurbishment kule Italy

[ATTACH=full]46712[/ATTACH]

Ala! Pic 3 majamaa wanatumia Sterling sub? Ama nimeona zangu…
Na hizo Nora ziko kaa ngapi frontline?

Sterling yenyewe

Last time nilicheki 25-35 ziko on order lakini 8 ndio zimefika. Hizi ni strategic sio za samaki ndogo akina kebab. Kuna ile ingine pia inaitwa 2S7 Pion iko on order

Sterling sub has been phased out by many countries… hope gava will also do the same and replace it

Hio sterling(jina ya parade) ikiwa range inaitwa smg aka short machine gun usipo shika vizuri itahama na kidole