Our KDF in pictures

Leo tunawashughulikia mashule yanayofunza taaluma mbali mbali kwa wanajeshi wetu na pia wanajeshi wa nchi marafiki.

  1. Defence Forces Technical College

Shule hiki kilibuniwa ili kuweza kuwapa wanajeshi mafunzo ya kiufundi. Kituo kimegawanywa katika shule haya

[ol]
[li]Training Support Wing[/li][li]Advance Engineering School[/li][li]Basic Engineering School[/li][li]Information Technology Centre[/li][/ol]
Ambapo mafunzo yanayopeanwa ni haya…

[ol]
[li]IT Courses[/li][li]Aircraft Maintenance Officers Course (AMOC)[/li][li]Engineering Courses[/li][li]Radar and Telecommunications Officers Engineering Course (RTOEC)[/li][li]Armament Officers Engineering Course (AOEC)[/li][li]Specialist Courses[/li][li]Technical Induction Course (TIC)[/li][li]Technical Conversion Courses (TCC)[/li][/ol]

[ATTACH=full]43445[/ATTACH]

Kamanda wa chuo hiki ni Kanali O.K Muleyi

http://deftec.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/03/cmdt.png

na mwalimu mkuu akiwa ni Luteni Kanali S.K Saeed

http://deftec.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/03/CI-DEFTEC.png

  1. National Defence College

Shule hili lina jukumu la kuendeleza na kuboresha uwezo wa akili ya viongozi waandamizi wa kijeshi na serikali juu ya broader dimension of security issues (Naelewa huwa hamsikizani na Babu yetu Kiswahili) ili kufikiri kimataifa lakini kutenda kitaifa. Leo usalama wa taifa ni tena kutazamwa kupitia lenzi ya kijeshi. Shule hiki kilipewa uwezo wa kutuza Diploma and Masters of Arts degree in International Studies na Chuo Kikuu cha Nairobi. Alumni wa shule hii ni wa kutoka nchi za United Republic of Tanzanian, Uganda, South Africa, Zambia, Rwanda, Ethiopia,Botswana, Sri-Lanka, German, Egypt, Nigeria, Zimbabwe, Malawi, Burundi, Namibia, Sudan, South Sudan

[ATTACH=full]43443[/ATTACH]

[ATTACH=full]43444[/ATTACH]

  1. Defence Staff College

Ujumbe wa Chuo hiki ni kuendeleza utaalamu, maarifa, ujuzi na ufahamu wa maafisa wa kuchaguliwa ili kuwaandaa kwa ajili ya dhana ya kuongeza uwajibikaji katika amri na Wafanyakazi.
Peace Support Training Centre (PSTC) ni kitivo kipya cha Chuo. Kilianzishwa mwaka 2000 na tangu wakati huo uliofanywa kozi 65 wa muda mfupi kwa ajili ya majeshi ya nchi na geni, polisi na raia. Hadi sasa `wafanyakazi 2,594 wamepata mafunzo. Kituo hiki ni miongoni Vituo chache imara katika dunia na ni mwanachama wa International 'Association of Peace Support Mafunzo Vituo (IAPTC).

Kamanda wa Shule akipolea zawadi kutoka kwa mkuu wa majeshi ya Rwanda

http://dsc.mod.go.ke/images/dsc_0107.jpg

http://dsc.mod.go.ke/images/jan2015/dsc02876.jpg

  1. School of Infantry.

Kanda cha Kiswahili kimefika tamati. The School of Infantry, commonly referred to as “HOME OF INFANTRY”, is an Army middle training institution situated in Isiolo County.
The School of Infantry originated from AFTC, Lanet, Nakuru. It was established in 1970s as a leaders wing charged with the responsibility of running tactics and weapon courses. Owing to the lack of training areas around Lanet and Nakuru at large, the Wing was moved to MARALAL in 1978 and renamed combat wing. In 1980, the Wing moved to Mutunyi Hill near Isiolo and renamed infantry wing. In 1981 the Wing was upgraded and assigned more responsibilities and named school of infantry

http://soi.mod.go.ke/images/gallery/1.jpg

http://soi.mod.go.ke/images/gallery/2.jpg

  1. Recruits training school.

Self explanatory. Located near Eldoret

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2014/05/Picture2.jpg

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2014/05/Picture16-600x318.jpg

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2014/05/Picture7.jpg

  1. Kenya Military Academy.

Nimechoka. Cadet School

[ATTACH=full]43442[/ATTACH]

7 Likes

Amazing… Naeza fundisha EH huko?

Kama ushai watch ile video ya KDF wakivamiwa na alshabaab pale el adde utajua hii training haisaidii . Training ya maana ni ile ya navy seals majamaa… Mko mtu tano alafu alshabaab ya mtu Mia moja inatokelezea wueh Navy seals wanajipanga ki Rambo wanachafua hio squad yote ya alsha

1 Like

Ata uwe navy seal with outnumbered firepower outcome itakua ile ile.

3 Likes

Yani kiswahili umekibaka minimum threshold ya ktalk, baada ya kumaliza ukatoa bunduki ya na kukimiminia risasi Saba kichwani. Hivyo basi kuhakikisha kwamba kiswahili kimekufwa na hakitawahi kujitetea. Unyama ulioje huu

2 Likes

When you are in a kill zone of a well prepared ambush then you are but a sitting duck, only your gods can help you, even the best trained troops in the world would be decapitated in such scenario. There are several maneuvers but getting out alive will depend on sheer luck and to push it the amount of ammo in your possessions

2 Likes

To whom is your matusi directed ?

Kisungu please.

3 Likes

Ipstc is further divided into two schools the peace and conflict studies school (pcss) and humanitarian peace support school (hpss) the course offered include sexual gender based violence, election monitering, protection of civilians, protection of refugees among over 35 other courses that i cant comprehensively name. The ipstc is a centre of excellence and they are only three in africa here in ke, the koffi annan peace institute in ghana and the ethiopian peace support training Centre @Jirani the elade clip is highly edited to depict the picture that they just overan the camp with minimal resistance this is further from the truth those in the know will tell you that their attacts come in waves look at it like these the come arranged in several layers of lines the first line consists of fighters the second is to drag away the wounded or the killed while the third is fighters and so forth so unless you have sufficient armour and air support they come in waves until that layer that will have to overun the defence i have not watched it but i gather from the colleagues who have done is that the camp commander died a hero he never surrendered he open the top lid of his burning armoured personnel carrier after it had been struck by rocket propelled grenade while he was trying to repulse the kebabs he looked around and shook his head at this point he was executed ie shot at point blank he slid back into the apc where he burnt. From the first responders on the sight all the trenches had spent catridges meaning they fought to their ends. This is my last and final response on elade on this forum as we await the formal report of the board that was formed to look into it. Lets leave our heroes to rest in peace and their deaths will be avanged but wont be broadcast like the skinnies

5 Likes

Soma story ya operation redwings. Hao navy seals walijipanga lakini walikuwa overrun na taliban. Rangers na seals wengine walikuja kuwasaidia lakini hiyo helo hata haikuland, ilitumia rpg. Of the four, ni mmoja alisurvive na ni kwa sababu alisaidiwa na locals. Vita sio jina ya unit, ni tactics na support ile watapokea

1 Like

Huko nadhani lazima uwe uniformed. NDC ndio wanachukua civillians

Hehehe, ni kujaribu kuitukuza lugha ya taifa

Kiswahili kitukuzwe

Read or search for attack in Libya where they had some seal and CIA on their bases yet they couldn’t hold the fire from the enemies. Actually, their weakness is just being attacked by continous bombing before they respond.

They were ambushed, ata sii kenya pekee wameuliwa el adde please stop throwing cold blanket

LONE SURVIVOR is the movie,real life events kabisa. some of it was shot on my base, an amphibious base, tizi yao ni wazimu manze, it takes 2 years to be assigned to a SEAL or SWCC team

1 Like

[SIZE=6]13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi. real life events movie, matata sana[/SIZE]

1 Like

Coronado ama little creek?

coronado

Unit gani?