Leo nashughulikia wale wako na kazi ambayo hatujazoea kuona lakini kwanza kitupa nyuma
[ATTACH=full]41238[/ATTACH]
Ndio nianze na wale wazito walifanya mambo kule Huruma.
.[ATTACH=full]41229[/ATTACH]
Huyo jamaa ana kihara juu ya nywele nyeupe na eti anashikilia cheo cha Meja
[ATTACH=full]41227[/ATTACH]
Hapa wanapewa mafunzo jinsi ya kumtoa binadamu kutoka kwenye kifusi
Hapa nao wakipewa mafunzo na jamaa kutoka USAF pararescue (hawa jamaa naheshimu kabisa kwa ile kazi ya kipekee wanayoifanya). Wabunifu na wajenzi mje mtueleze kama ni sawa kutumia msumeno wa nyororo kuukata simiti
[ATTACH=full]41230[/ATTACH]
Hapa nao tunawaona wale ambao wako kwenye kikosi cha kupambana na vitu vinavyoweza leta madhara wakiwapa wenzao maarifa ya kuzidisha mafunzo
[ATTACH=full]41231[/ATTACH]
Hapa wakifanya maonyesho kidogo
[ATTACH=full]41232[/ATTACH]
Na hapa pia kumuonyesha Uhunye vile huwa kunaenda
[ATTACH=full]41233[/ATTACH]
Hapa nao tunawaona kikosi cha wanamaji wakifanya mazoezi yanayohusiana na kitengo chao kidogo kinachojulikana kama Special Boat Team/Unit
[ATTACH=full]41228[/ATTACH]
Mpiga picha huyu angesoma nyuma kidogo na atumie kifaa cha adobe photoshop kuongeza mvutio kidogo tu…
[ATTACH=full]41235[/ATTACH]
Kipindi hakiwezi kamilika kama hamna ndege kwenye posti
[ATTACH=full]41236[/ATTACH]
Muwe na wiki njema.