Our KDF in pictures Special

Leo mafans wa navy mtanisamehe

African Partnership Flight is a training exercise held in Kenya for USAF, KDF and UPDF. The aim of this is for partner nations to build enduring relationships

The APF included an Exercise Linda Rhino, which aimed to put into practice what was taught in the classroom. The lesson was recovery of downed pilots, SERE (survival evasion resistance and escape), and combat search and rescue ( @Potraits1 hii ndio ile ulinieleza)

[ATTACH=full]48001[/ATTACH]

[ATTACH=full]47996[/ATTACH]

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/012-2-704x318.jpg

[ATTACH=full]47998[/ATTACH]

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/001.jpg

Deputy Commander Kenya Air Force Brigadier Francis Ogolla welcomes the Commander Kenya Air Force Major General Samuel Thuita at Larisoro

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/002.jpg

Beautiful Bird

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/003.jpg

Mission Brief

[ATTACH=full]48002[/ATTACH]

[ATTACH=full]48003[/ATTACH]

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/004.jpg

Hapa wakitest equipment. The army personel you see are Rangers

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/005.jpg

Marking the landing zone

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/006.jpg

Casualty evacuation

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/007-.jpg

[ATTACH=full]47999[/ATTACH]

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/008.jpg

Wazito Air Force Commander Major General Samuel Thuita (left) and Deputy Commander Brigadier Francis Ogolla

http://www.mod.go.ke/wp-content/uploads/2016/07/015.jpg

Airfield, Security /Base Defence class in a session with US Air Force instructors at Laikipia Air Base

[ATTACH=full]47997[/ATTACH]

[ATTACH=full]48005[/ATTACH]

[ATTACH=full]47995[/ATTACH]

Rapid Deployment Squadron

Sasa wamefanya uamuzi wangu kutofwata familia huko iwe ngumu. Wacha tuone kama hawa watakuwa kama USAF parajumpers ama UK MERT/RAF Regiment

Asande @Potraits1 kwa kunichanua.

Mbisha ofkos sio zangu

#Pic2
Mbona hao vijana wa UG wanakaa manjaa njaa ivi ivi…Kwani M7 halipi mshande vipoa?
#Pic7
Wasee wako briefing na mchamaa ako Ktalk akitusi Magufool kwa kuingilia serikali ya mzitoh

Good stuff. Keep em coming @Jazzman
Na pia fafanua hapa

Sasa wamefanya uamuzi wangu kutofwata familia huko iwe ngumu.
sikushikanisha

I also thought all choppers belonged to Nchi Kavu…nielimishwe…

Walituma wale underweight ndio wakuje washone na food za LAB

@bjurmann umepatikana laif laif

Asande

Wanaume wote wa familia extended pia wote ni KDF na wote hujipata specialty moja. Bro mmoja tu ndio aliamua kuenda British army na huko pia akajipata hiyo specialty ya familia

Traditionally, air forces (except US) ndio huwa na medium to heavy lift helos. In some cases navies pia wanakuwa na heavy lift helos to support its operations na marines (except US). Armies huwa na attack, medium lift.

Sasa hapa Puma na Mi-17 ni medium lift zinaenda to air force. MD500 na Z-9 ni attack helos ni za army

sitaji mtu lakini kuna mwingine kwa hii kijiji alikuwa na claim kama hii na hata akaongeza amepitia ROTC program huko US…siku hizi hatumuoni…(@Jazzman i am not trying to discredit your good work, just pointing an uncanny coincidence…)

Kuna uniform hapa nimeona imepigwa dark tan ua kutosha.
ni ya kina nani?

JAZZMAN am 28 tafutia mi kazi huko malipo baadaye after training

Too Old

Maina wacha shortcut, enda uwanjani ukimbie

Nilimuuliza kama alipitia ROTC anafanya nini hapa na hakujibu. Alafu pia kuingia huko lazima uwe citizen. Kama baba yake alikuwa attache na hakuzaliwa huko, citizenship alipataje? Unfortunately fala ingine ikaanza kuleta maside show sikupata jibu

cant make it nilijaribu but nikaabiwa miguu sijui nini inaweza pita katikati na urefu pia

Picha gani?

yeye mwenyewe alikuwa expert level ku-sidestep thorny issues na ukimpress ma white knight wanatokea na matusi ingine moto, uliza @shocks

Jaribu tena. Kama uko na degree ngoja ile wataita general service officers

We faced fire when we called out “her” BS

After hiyo ya Mission Brief,hao wako somewhere on an open field

Hao ni UPDF

Next time ukiweka kitu ya jeshi bila Kenya Navy nakuroga walahi. ION nimenotice most guys wa Army na Airforce hawaelewi shoulder ranks za Kenya Navy.

Wanakaa Child Soldiers!