Hio pose inakaa kama anakunia
Anakaa transgender
4 Likes
Johntez unavuta nini sasa?
Tulia
Tobacco mixed with mwarobaini
1 Like
@Chiefguest, kwa miaka mingi tumekuwa tukimuomba sana Dkt. @rexxsimba atuwekee picha za wanadada wenye maumbo ya sampuli hii, lakini inaonekana kama ameweka masikio nta. Hapa nimekupa asilimia sabini na tano.
(Kiswahili ni lugha ya taifa, lakini bado inanipa changamoto kweli kweli.)
@Billy_Drago hapa nimepata marks ngapi out of ten. Nazungumzia matumizi ya lugha ya kiswahili. Sahi naongea kama Swaleh Mdoe yule mtangazaji wa habari katika runinga ya Citizen.
2 Likes
Anakaa mkamba







