osha mecho

Leo nikiwa narudi kutoka Eldi nilikuwa nimekaa kando ya Ero fulani. Kufika ile junction ya Moi Uni nikaona niingie kwa Bantu pale Dark Tera nioshe mecho kiasi. After kuosha mecho naskia uyo maasai ako ‘Ero wewe naeza ekea mimi iyo kitu kwa simu yangu pia mimi niwese kuona hao wasichana kama wewe?’
‘Ero mimi naesa ekea wewe leta ngiri pekee utaona hadi uchoke’

‘Ero mimi iko na 800 pekee’
‘Sawa leta niekee wewe’

Na hivo ndo nimekula 800 hii safari ya Eldi ilikuwa tu fiti sana:D:D:D:D:D:D:D:D

HEADS UP
Stick around ntaangusha hekaya hapa vile nilikamuana yangu yote nikiwa huko.

:D:D:D:D:D watu wa nairobi ni waiziii tuuuuuuuuuuuuuuuuuu

wewe ni muongo tu wa kawaida

Mtu wa vitu petty petty hivi…

Every time I meet a Maasai who needs any form of assistance my brain registers conmen. Just make a quick check on yourself, phone…money…fake money…etc

@tall mnyama everywhere nirushie number ya huo kunguru kwa avatar nikamue

Nilikuwa primary reserve na masai walikuja na kuraid in name of nyasi… still hate em