Why should you work for 6 months without pay? I blame the staff. Hio shida ya kujitakia
people don’t have options out here
And they can’t run to the courts or labor unions which are both compromised
Maumbwa zilipe employeees
Mwenye ameona amecheleweshwa ajiuzulu the he/she to pursue the arrears as a civil debt. Nguvu ya kuvumilia miezi bila pesa while I can’t wait for 30 days kushika pesa watu hutoa wapi?
shukuru mungu if you have a stable job. people are suffering out here
Ushawahi sikia kitu inaitwa strategic choices? You are responsible for your circumstances but it is human nature to lay blame elsewhere. Always remember that you are most vulnerable in your comfort zone. Most people find themselves in the boiling frog situation until it is too late to jump.
we shukuru tu mungu if you have a stable job…
I am a rancher mbwa hii. Story za kungojea pesa once a month niliondokea eons ago.
Nitawaachia hiyo kazi yao nirudi ocha
sawa. But you sound just another peasant from your tone. all the best to you.
Kazi ya muindi ni shida tupu.
muhindi kama hajafinyilia nyeuthi huskia kama atahara
@Mzee_Mashavu unasema tu ati watu hawana options… Sijui shukuru ukona stable job… Bla bla bla. Acha nikuulize swali, mtu alitafuta kazi kwa nini? Ni juu ya pesa! Pesa ndio inafanya watu wafanye kazi. Watu wanataka pesa na inapatikana kwa kazi. Sasa kama hio kazi haina pesa kwa nini mtu aendelee kufanya hio kazi. Si aache! Ati ooo watu hawana options. Ni ukweli hawana options hio nakubali. Lakini bro hakuna mtu anataka kazi watu wanataka pesa. Hakuna haja ya kuvumilia kazi haina pesa heri mtu arudi ushago
Easier said than done.Nyinyi watu hamjui vile kwa ground mambo iko. Ata hiyo ushago unasema maisha si rahisi vile unafikiria.
Lakini mbona mtu afanye kazi penye halipwi. Not unless alikuwa anataka kazi like literary kazi. Scarcity na poverty mindsets huweka msee anaishi na uwoga sana. Anasahau ako job kutafuta pesa anaanza kufikiria ako job kufurahisha wakubwa. Juu nieleze vile kazi inafanyika for 2 months bila pesa not unless watu wako hapo kama punda hawana haja ya pesa
As you can see on the notice, the arrears will be paid. Tell me, you have a family here in Nairobi, salary ichelewe for 2 months. Will you just pack and go ama you will wait for the arrears to be paid as you plan your exit. I am assuming you are a bachelor with no responsibilities. And for your information 50% of companies in Kenya are currently delaying salaries. Nyinyi watu husema kurudi ushago as if ni rahisi
Umeambiwa hapo juu kwamba hakuna raha ya kufanya kazi haina mazao. It is a very simple concept. Why are you struggling with it? So landlord akikujia rent ama mwalimu ya mtoto akujie school fees utawambia washukuru mungu at least you are still employed?
There is nothing unique about Jiji kuu ama ushago not unless unataka kuniambia ushago watu hawasukumi maisha kwa ranches lazima wakue Jiji kuu ndio wayasukume. In fact guys who downgrade wanarudi ocha wakiwa focused turn out just well. Most rural settings daily income ya 500-1k is more than enough to sustain someone akijipanga bora awache pombe na lanye.
Most Kenyans aren’t ambitious I think out of the conditioning that starts at an early age that prepares everyone to be a slave. Couple that with needless credit and constant bills and you have slaves on your hands doing your bidding. In no time, the fear of starvation completely incapacitates otherwise brilliant folks. You now have people working in order to afford to go to work. Salo ikiingia alipe rent Na kununua groceries anabaki Na za fare ya kwenda Na kurudi job.