Opinion on a 50x100 hapo Ruai junction

Vipi wazito. Naitiwa plot ya 50x100 hapo Ruai. Its at the junction just behind Shelter Night club. Few minutes walk to kangundo rd. Damages 2.5M na Title zilitoka. Naona nijaze singles hapo for 3k per room to attract low income earners. Whats your take elders?

Weka hata mabati suits sisi kama low income earners tutakuja kuzijaza na tufanye hiyo place iwe slum design flani ngori

Ruai ni noma. Kwanza juana na cartels.

Tafta vijana waitwa kina Chariman, MC, Kama hapo kwa stage ya Ruai, hapo quickmart

They will tell you the truth regarding that plot.
Pombe ya 5k will make them tell you all stories about that plot.

Great advice.

Wewe kwisa.

Tunauziwa na relative. So its been in the family for a while. Ni mbili. Side moja wako na rentals so wanataka kuniuzia the other side.

Wazito. Tunauziwa na relative. Title iko kwa jina yao. They have owned the property for a while since they had certificates till titles came out. Ziko mbili. Moja wameweka rentals. Other side ndio wananiitia.

Aje elder

Worth the plunge. Nunua tengenezea peasants makao

Leta Mbecha Niuzie wewe gari kubwa. Achana na shamba maisha ni mafupi. sema miaka 70 minus ile uko nayo huone hakuna na ni pesa unataka kuchimbia kwa mchanga…

Red flag hapo. Anyway due diligence ni muhindi hapa.

  • Is it the mzee selling?
    If so has he told his kids?
    Have the kids agreed to the sale.
    Do they have one child who is a black sheep in the family?

Mrogi wewe. Unataka details ndio umroge?

Ghaseer. Sina haja. Just advising the young man.

Hii itasaidia aje ukijua?

@Rene Descartes meffi wewe, ulilenga inbox yangu ya body valve:(

Nilisahau bana. Hehe

Lakini ni kama poa ulipata problem sababu hukutaja valve body.

The mzae died. Title iko kwa jina yake. Mama na mtoto mwenye aliwachiwa ndio wanataka kutuuzia. Its people we know

Ksh 2.5m is a bit on the lower side. Don’t be in a hurry, please, just do your due diligence and don’t be in a rush to part with your money.

Sio familia zote ziko na ukora kama zenyu

Jamaa hapo kanya on toes. Mimi iko siku nilikuwa na ambiliwa plot huko chini Kwa sewage. Niliambiwa nilipe 10k halafu nijenge tushanti twa mabati. Luckily nilikuwa nimepoteza ATM yangu. Saa kabla niendee kutoa doo kwa bank nikachelewa. Hio usiku nikirudi ndio nipatane na hao broker wa buroti nilipatana na tingatinga za kanjo. Kama zimeboa na kuharibu mabati za watu such a way hazingetumika tena labda ziuzwe Ka screp metal.