Operation Rudisha Kibet Nyumbani

A tearful mother from Kapsabet could not stop shedding tears “Alituambieko anaendako Jermaan kutafuta kibarua, mpaka wa leo sijamwoneko. Tafadhali tusaidieko kumrudisha kijana wetu Kibet”

@Mundu Mulosi ,please set up a paybill to bring back @Panyaste kabla Blaze amalize kuchunisha sukuma banae.

Kwani watu wa Kapsabet wako na accent ya dholuo?

Link ?

Uko slow ka shonde ya mtu alimeza taksin

wewe hauna akili kaibisa

Jakenya @Tiriitiondo , December tumekulipia circumcision pale kimilili . utakatwa kwa chupa ya fanta .

Paybill tumepata wanakijiji muchangie jakenya ya kupona 567890 , account tirinjakenya

Hizi ni frustrations za ku-miss moderator/admin powers lmfaooooooooo

hiyo ni ya walunje. kapsabet wamaragoli wako.

Hiyo ni accent ya kiluhya

Jirani ni nusu Kale /bukusu.

Ni bro ya Sakaja?

Kibet anakuom…
[ATTACH=full]259249[/ATTACH]

200 Euroste from me!!

:D:D:D
Ngoja all his multi handles from germany dandora are coming.

Pana tusi Mimi !
Kama ni kibet ya hii kijiji
Wacheni aende ! Ata Gio alitokomea … tuuuu ! maimar

Maliza hiyo ghasia,ndio ipate ata nguvu zaidi ya kunyonga nyoka na warthog kule gamepark