ctrl c ctrl v —> Demu anatakiwa kuwa mshamba kiaina…
Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof…huna hata cha kumdanganya?..
Inatakiwa ukimuuliza “baby unamjua Lukaku?” anakujibu “ni yule rafiki yako wa kijijini?”
Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu “si ndo yule mtoto wa mama James?”…
sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki…
Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho…
inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia “baby toa bn mi ntaota”…au “au maskin si atamuua sasa”…
Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia “bora life,linakiherehere sana!..”
Mi napenda demu nikimwambia “Leo Chelsea anacheza na Man U”…yeye aniambie “kumbe kombe la dunia limeanza?”…
Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Bayern na wafungaji wote walio ifunga Arsenal, demu gani huyo!!!??