Only Kambas or those who have been in Machokos will understand.

Hoteli kubwa hii… It’s also a milestone resto
[ATTACH=full]207609[/ATTACH]

[ATTACH=full]207610[/ATTACH]
Ukichapa hapa breakfast u will not eat lunch juu utakua umeshiba kushiba

Nini hiyo inakaa crabmeat?

Best samosa ni za T-Tot

Tembea TTOT uitishe nyama ya tumbukiza plus chapo

Kabisa

Now this is some good breakfast.

T-tot has one of the best samosas

Ukitaka quality nyama tumbukiza or kuku or fish enda Tanga tz… Laini mpaka unachew na ulimi

T-tot number 1 hotel in Kenya for African foods

Sisi Arabs tunamob poa zote hata ni number 1

hiyo soup yote ni ya nini

Ni ya kuosha mkono.

First stop when I land in chapchapshire.

musingo soup

Unajua hata hakuna mtu amekuuliza hii kitu?

@Panyaste kwani walifungua t-tot huko deutschland?

I’ve never had the T Tot sambusa. Only the chicken soup with chapati.

Hii jina unichekesha

kwa Carlos walifunga?