Only in Ktalk

Unafungua thread seeking some advice, talkers become brutally honest and you realize you made a mistake. Una abort mission na kuzama.

He he he… you guys can be brutal.

Kwani @Kimakia ameteleza tena?

Khocha… Ndimulamu?

Comments were coming in fast and furious ikabidi thread imalaysie

mvua imepungua

Orio khocha trying not to get drunk before 8.00 nione game ya wazito. What is your prediction khocha?

hapana, inatulia twenty mins inamwagika tena

kuna statement niliona kwa hiyo post yake nikajiambia this will come to bite your arse…

Mwenye ako na screenshots atuwekee pls.

You guys are lucky to have rain.

Which thread was this?

sio mimi ata wakati huo mwingine huwa nikuonewa

kwani mmeitoa…inakaa hutaki niwe pilot bwana

Sijui kama uliona comment ya chiefmbitika? Hata kama ni mimi nazama roho safi

He he he, to be honest, I really do enjoy the thrashing and bashing even if its my own thread

Seconded.
Habari ya weekend @Mathaais ?

niaje mutheu aka sub shifo?

unfortunately sikuiona.

I am not the villain

Inaugral KQ flight to JFT and back to JKIA - General - Kenya Talk

I would like to know too what transpired? why the heck did i take a nap

Niko fiti bushameni.kujia supu Isinya.

sema kitu ingine niland huko na helicopter

You are slow.