all my friends wanapata girls… almost kila mtu najua ni girl dem… sijapata watu wengi na maboys
under certain environmental conditions, such as strained resources or chemical interference with male gonads, more females may be born as they are more likely to survive to breeding age than males.
Noted that too man. Ama labda ni ile kitu Alex Jones husema about watu kupump hormones kwa Maji?
Watu wa kuzaa madem kazi ni kudinya kila wakati…to get boy child one has to use the charts,timing has to be right. Si kila wakati ni ku pump,pump bibi.
Na hii mambo yakushikanisha watoi kama train inachangia sana . My first born is 17 yrs ,last born 4 yrs ,all mboys.
That means my son will have an abundance of Kungurus in future
Nameless pia yeye ametoa madame tu. Unakubali tu matokeo msee.
My son gonna be pimping 'em hoes.
A father without a son must say goodbye to his lineage
What is the scientific basis for this …reference some cases with empirical data…au itabaki tu street rumour…yani hekaya…mambo na birth i guess has something to do with genetics…environment…na overall God determines whether atakua boychild or galdem
Usiseme hivyo manze :oops:
Hakuna story ya God hapa… kwanza siku hizi kuna hadi apps za kujua cycle ya your female… just bang when she is ovulating. Hapo chance ya kupata mboy is high since hio chromosome or whatever ya boy huwa weak and cant last kama ya female waiting for the egg for days on end.
Ni juu ako na umama mwingi
Na asiongee mbele ya wazee
Kuna mahali pia boys wanazaliwa kwa wingi hivo…
Go to any maternity or nursery and do a proper counting you will realize for every 100 girls born, 107 boys are born too…
Watu wamefanya biology Na fertility kiasi know that the male sperm is smaller hence swims faster than the female sperm which is bigger…
Kitu inafanya wazae wasichana Ni the fact that the male sperm dies after 48hrs after ejaculation while the female dies after 72hrs meaning Hawa Ni wale washezi Wa kucount safe days hence by the time ovulation inafika vijana wanakuwanga wamekufa…
of course najua mnauliza kwa Nini women are majority Na maboy ndio wanazaliwa wengi… here’s the reason women have a stronger immunity than men…uliza any parent who has given birth to both gender katikati ya a son and a daughter before they reach the age of 5 Nani ndio hukuwa sickly saaana…there you will get the answer …infact most children who die before 5 years are boys hence balancing the ratio of 107 boys born per 100 girls…
Girls having a better immunity than boys is understandable juu huwa wanabeba another human being within them i.e. get pregnant
FACTS !!
…mmm eti female sperm???..have you ever heard of the ovum ??..wacha zako bro…
Umegonga ndipo timing, dem akijua ovulation day Ni Friday na wewe u-deposit sperms Monday, by Friday sperms carrying the Y chromosome ya a boy itakuwa ishadedi. The sperms carrying the X chromosome stay longer in a woman than the ones with Y chromosome. Read that in an article.
Link…reference…this sounds more accurate
Proud to have fathered a boy!
Afadhali hio. China ni opposite and the girls are abusing it. Dem anataka dowry ya millions of dollars and she doesn’t offer anything ju women are fewer.