Small bro ameweka kambi kwangu na nataka nimrudishe kwao chap chap. Najua ni freedom imemleta lakini ananiharibia starehe. Uzuri ni anajifunza html, css, javascript na MVC and he can actually build websites. Ni wapi anaweza pata kazi ama ni site gani online anaweza pata kitu ya mfuko kwa kutumia skills zake? Yeye ni first year BBIT
ikiwa uko na two bedroom house usi mchuje ESP. if kwa mzazi ni bundus. Pita hiyo stage ya discomfort kwanza then uta realise he is an asset hata kama atakuwa tu anakusaidia ku run errands.
upwork.com. That’s where I’ve been working for the last year or two.
Kwa wazazi ni hapa hapa tu nairobi, namtafutia ndio yeye ajipange na kwake aanze na mattress na laptop, najua kwa wazazi hakuna amani
Acha akae kwako juu atarudi shule long holz ikiisha
Upwork, elance, guru, freelancer, people per hour. All those are good places to start. On a side note, groom him to be a man. I didn’t have a big bro growing up and learnt alot of manliness on my own.
si unisettie profile upwork brathe
Asande sana.
Unfortunately hatukugrow up pamoja, the most tumekuwa pamoja ni 1 month. Alijifunza vitu mingi
Yeye ni dayscholar pale kemu
Wacha ufala…tafutia kijana momo akamue…hiyo ingine baadaye
It’s a public website. I can only tell you what I learnt and/or what my mentor taught me. Sorry.
Mwambie ajifunze writing…si lazma aandike anaeza outsource kazi na bado anakula mingi apo
Freelance in high esteem
unless u trading no other online stuff, maybe uber driver or currency manipulator trader.
mwambie atumie hio html na css atengeneza attractive blog, then atumie brain yake kucreate content aanze kuuza his own pdf books