Semeni wasee. Hakuna venye kumaeza makiwa onion site ndio wasee wajuane na watu waache kupeleka mohahe place ka facebook ivi. Ikimakiwa onion lazma wasee wakuwe na link yenyewe ndo waingie na lazma jamaa ziinvitiwe .
badiliza jina mbloo…incognito ndo tumezoea
Funga pupa na ulalishe na sio tafadhali
Kabugi wasema?
Anataka kujua anaweza panda kitunguu wapi…
6 Likes
de fuq is this?
haha dark web visitor detected:D
5 Likes
[ATTACH=full]17891[/ATTACH]
Ndugu si upende kuwa aquatic
ma onion ziko soko jamaa
1 Like
mimi siezi jibiwa hivi alafu niwaache aki
1 Like
Kabugi, your name sounds familiar …
Dark web = @Web Dev
instead of onions utapata a lot of viruses bro and may b a visit from the men in blue!