Oneitis ni kitu mbaya

[MEDIA=facebook]JoyMachachari/posts/1323731184684059[/MEDIA]

What is happening to wanaume bwana? Options ziko mingi kama hesabu ya factorial, bado mtu anasumbuliwa na 1? Tujiheshimu wasee…

Sio kila mtu ni player nani.

Basi unaingia mgtow. Apana umiza binadamu mwingine kama ulichagua kunguru.

Ni kama experiment I sey

Hehehe! Dawa ya kunguru ni superglue!

I can see the Joy part of this.

Jiheshimuni wasee