Four bedroom self contained (choo ya shimo). Haina flooring but naeza kutafutia watu wa flooring na plastering (you pay for labour) .
Size: 41x100 ft
Call
079001602[SIZE=1]7 [/SIZE]
[SIZE=1][ATTACH=full]453513[/ATTACH][ATTACH=full]453515[/ATTACH][ATTACH=full]453516[/ATTACH][/SIZE]
Sasa singo rooms unaita 4 bedroom. Meffi wewe
Dyson
July 26, 2022, 11:19am
3
Looks like zile nyumba za coast vitongoji duni
Huoni ziko na mlango main moja??
Lol…
Wewe kweli ni makamasi ya pweza…
Admit you’re poor. And move on in shame
Micymas:
Four bedroom self contained (choo ya shimo). Haina flooring but naeza kutafutia watu wa flooring na plastering (you pay for labour) .
Size: 41x100 ft
Call
079001602[SIZE=1]7 [/SIZE]
[SIZE=1][ATTACH=full]453513[/ATTACH][ATTACH=full]453515[/ATTACH][ATTACH=full]453516[/ATTACH][/SIZE]
@Motokubwa unasumbua. Songesha hii pigsty na uko
Anubis
July 26, 2022, 4:34pm
8
Might be good investment if I think
Micymas:
Four bedroom self contained (choo ya shimo). Haina flooring but naeza kutafutia watu wa flooring na plastering (you pay for labour) .
Size: 41x100 ft
Call
079001602[SIZE=1]7 [/SIZE]
[SIZE=1][ATTACH=full]453513[/ATTACH][ATTACH=full]453515[/ATTACH][ATTACH=full]453516[/ATTACH][/SIZE]
Uko na title deed? Looks like it’s built on communal land apo coast. Sioni fence apo. I can throw you a offer.
Between MacKinnon and mariakani
Freyja
July 27, 2022, 10:15am
12
At 1M ? Nope.
Hapo hakuna title Kwanza.
@Micymas nipatie na 50k na ruhksa ya kubomoa hio nyumba.
Unaishi laikipia mombasani waenda kufanya nini
Karoga
July 27, 2022, 5:19pm
14
What is this,wapi county approved plans among other document s
Freyja
July 27, 2022, 5:22pm
15
:D:D:D @ChifuMbitika ndio anaishi laikipia. The furthest I’ve ever gone that route ni Nanyuki. Mwisho was reli.
Choo ya shimo tena ndani?
Jaweed
August 1, 2022, 5:09am
18
Micymas:
Four bedroom self contained (choo ya shimo). Haina flooring but naeza kutafutia watu wa flooring na plastering (you pay for labour) .
Size: 41x100 ft
Call
079001602[SIZE=1]7 [/SIZE]
[SIZE=1][ATTACH=full]453513[/ATTACH][ATTACH=full]453515[/ATTACH][ATTACH=full]453516[/ATTACH][/SIZE]
Kufanya finishing imekushinda, sasa unauza ndo umalizie ile loan?
Iko na kifuniko si vyenye unafikiria[ATTACH=full]454818[/ATTACH]
Ukiweka kile ki-pipe cha kutoa harufu nje inakuwa poa tu… Lakini hawa watu wa real estate hukula poa sana. mtu ananunua plot kama hiyo 250k, anajenga hio structure na 250k, alafu anadai 1m. Ni kama hizi apartment watu hununua 10m nairobi, yet ukifanya costing, the thing has only cost 1.5 million kujenga at most. No wonder the sellers are able to sustain a business even when only moving one unit per 4 months.