Zaidi ya watu mia.mbili wamefanya maandamano ya amani wakitumia panya kama kuwakashifu wawakilishi wadi wa kaunti hii kwa mradi wa kujenga chumba cha mazoezi kwa gharama ya takriban milioni 75. Maandamano hayo yaliyoongozwa na John Wamagata ambaye ni kiongozi wa operesheni ondoa panya. Panya hizo zilikabidhiwa kwa ‘sergeant at arms’ pamoja na malalamishi yao. Wawakilishi wadi hapo hata hivyo wamemshtumu Gavana Nderitu Gachagua kwa masaibu yao .
1 Like
kaunti hii ni gani?
nyereee
Some stunts have been overtaken by time…plus wouldn’t it be a health hazard…creativity needed
Ok, lugha swafi kutoka nyeri !
Reading in Swahili gives me a headache
:D:D:D:D. iyo avatar yako imenimaliza. creativity gallore
1 Like