Hio ndio maana ya kufika BEI
[MEDIA=facebook]769644816472239[/MEDIA]
Hio ndio maana ya kufika BEI
[MEDIA=facebook]769644816472239[/MEDIA]
March 14, 2006
Umeona video ama ni keherehere tu?
Wasee wako kwa hii industry, nganya kama hii hurudisha doe haraka kuliko zile hazijasukwa? @Luther12 unaitwa
i just wasted a few mins of my life…
i honestly don’t get it, hizo screen kwa floor ni za kazi gani?
Hiyo findeo iko na nini? Sina mbandos
Mzae mbona unacomment umavi? umelazimishwa kuona video? Ningeongea mbaya lakini acha nitulie
Mathree ina screens mob
naona hujaongea mbaya yet, mungu akuonekanie…
Route gani?
Screen kwa floor ni ya nini? And why are Kenyans obsessed with Nigerian music.
They have good music.
zingine hadi wanaweka playstation
The Chinese are going to Mars, the Americans have sent a probe to another solar system, the Europeans are circling Saturn, the Japanese are exploring Pluto and the Kenyans? Well they are putting video screens on the floors of matatus and boasting about it!
Let’s all take a minute.
No, fungeni macho NATUOMBE!
Am not in the business but I guess mat kama hii ikiwekwa route ya Rongai where along the way kuna students wa Catho, MMU na Nazarene pesa inarudi haraka
Juvenile thread!
@admin
[ATTACH=full]56333[/ATTACH]
Wazee wenzako wako busy wakiokoa maisha ya watu, wewe kazi ni kuangalia watu wakikufa LIVELEAK.
Don Ritchie - Wikipedia
thats where dirty money goes