On women who make the 1st move

Nimepeleka usalon huko youtube nikitafta umbea kuhusu kyalo na okari nikaipata kanda hii kuhusu uhusiano wao ulivyoanza hadi kufikia ndoa

https://www.youtube.com/watch?v=biNGfB8_tA8

Skiza kutoka 3:02 - 3:08. In her words, ’ One thing led to another but I’m the one who made the first move, I’m that kind of a girl

Now it makes sense. Betty Kyalo ndio fisi. Infact Okari ndio angefaa kubadilisha jina after ndoa aitwe Dennis Kyalo. Sasa ata sihurumii huyo jamaa.

Moral of the story. Dame akikuapproach weh chukua slices na utembee. Ikifika ni kuoa lazima ukuwe mwanaume ujitaftie weh mwenyewe. He who finds a wife finds a good thing. Keyword is find, yaani you do the searching.

27 Likes

:D:D:D:Do_O Harreruya!

2 Likes

Boss, hujui Okari vizuri. Huyo jamaa amekula kama nusu ya wanawake hapo Nation Mindia. Na si ati ni jokes. Pengine pwagu amekutana na pwaguzi ikawa twende twendete!

8 Likes

amen

Fafanua kizee. Huwa napenda hiyo dame inaitagwa Betty Na sijafurahia venye wameachana.

1 Like

I can believe you wakisii na Mukungu. wachana nayo. Had a neighbour Onyancha and his neighbour/cousin Onchari, Onyancha was a night shift guy and had connected Onchari at the same place but during the day shift. Onyancha alikuwa anaswaga wife ya Onchari mchana bila huruma. Walikosana na Huyo wife ya cuzo yake when he started bringing other chicks to his cube.

1 Like

Wakimake first move sitawabagua. It’s a ‘free world’. But obviously nitajiuliza viuliso.

more often than not you do not even know whether or not she made the first move… she placed herself somewhere strategically or she gave you a smile ukapita naye then you go chest thumping… some of you may be married to a “first-mover” na hamjui, women are more savvy on these matters

14 Likes

This guy hajui wanawake vizuri. They wield a lot of power in relationships.

3 Likes

Okari is himself a quick chap. Si ati collegues hawajui hii maneno! Ni hayo tu kwa sasa.

1 Like

when you get older you realize that the delusion of “niko na mistari kali ndio dame akaingia box” is not really the case and does not tell the whole story.

5 Likes

Si pia inasemekana alichukua slices zake kwa Msalame a while back? But he dated Betty for quite long.

1 Like

Unaharibia vijana wadogo confidence kma vile watoto huko mayuu huambiwa finally ati Santa is not real!!! Wacha wanaume wajibambe!!!

Hiyo hata iko kila mahali kwa social mindia na blogs.

3 Likes

Ati wanawachana?? How now?

How she did it
[ATTACH=full]38526[/ATTACH]

34 Likes

heheeh watajua tu with time that they get Pre-selected from a pool and then get allowed to “WIN” when they tick some boxes

Women are very tricky and calculating more often than not niggas get trapped na wanafungiwa kwa box bila kujua . years back were much better than nowadays.

1 Like

This argument has always been there but it’s very easy for a street-smart guy to read thru such women… You can’t fake coyness for long… if she truly likes u and wants to box u she knows she can’t afford to fake it for long… it would be very risky for her (especially if she’s in her late twenties or older)…

Women are only powerful when young and pretty. Once they grow old all power should be with the guy. If you’re with a woman Betty’s age and you have a good career yet she has the power then shida ni kwako

Hapa sasa ndio tutarudi kwa kitamaduni za kale wakati wazazi ndio walikiwa wanatafuta wachumba kwa niaba ya wanawe.

1 Like

BTW ile date yako iliendaje???