On the roads yesterday.

Total madness ,indiscipline,recklessness and unroadworthy vehicles.
[ATTACH=full]146892[/ATTACH] [ATTACH=full]146893[/ATTACH] [ATTACH=full]146895[/ATTACH] [ATTACH=full]146896[/ATTACH] [ATTACH=full]146897[/ATTACH] [ATTACH=full]146898[/ATTACH] [ATTACH=full]146899[/ATTACH] [ATTACH=full]146900[/ATTACH]

He he he @Mathaais Yani grind lock ilikuwa mbaya hadi ukaenda kubrizz hapo kando kwa nyasi.

Yesterday, driving to Nakuru from Nairobi was hell. Journey of two and half hours took me 5 hours. The traffic on the road was hectic.

Natumia hiyo highway in the next 3 hours. So nijitayarishe kulala kwa Barbara?:D:eek::eek:

I left Nairobi at exactly 4.00 in the morning yesterday, by saa tano mchana I was in Bungoma. Sikuona anything.

Ulichagua masaa mzuri, Hawa wengine walitravel when everyone else is traveling.

Use thika superhighway - mangu road join nairobi- nakuru at flyover
From naks to Nairobi use 114 or 116 leading to RWAKA

*grid

Axle ya ma3 imetoka aje?

Wakanesa wenda ata klismasi?

hio ya KBS damn it! how does that even happen?? na hawa watu wa sijui vehicle inspection wanakuwanga wapi cause I usually see many buses and lorries gracing our roads without a centre bolt… or whatever makes an approaching vehicle look symmetrically right. unapatananga na kitu inakuapproach ikikaa ni kama mbwa imekatwa makei

Kwani hamjui shortcuts na vile ni mob!

Shortcut ya kufika Narok?

Mandaz ya krithimathi inarete chida matamchi :D:D:D:D:D:D

p

pitia ngong town, then kerarapon, where the road is dusty mpaka suswa ushike lami mpaka narok.

Hizi basi mzee za town service huwa blunder, kuna moja diff ilikua na shida, kidogo hivi ikawaka moto

Tusikosane m2 wangu wa keroka priss!!! :D:D

Ajitayarishe Na hiyo vumbi ya 64kilometres ndio atoklezee Suswa. But a good thing most of the road is a slope.

Hua iko karibu ivo???

Yeah hiyo ikatengezwa, maai mahiu route tunawachia trucks.

Thats Overly due!