On the next episode of Pimp my tuktuk

They got Take off & Offset (Migos) on their tuktuk
[ATTACH=full]155286[/ATTACH]
[ATTACH=full]155287[/ATTACH]

Good art work looks like a military tanker

Hizi tuktuk za Nairobi nazichukia saidi

@It’s Le Scumbag unaitwa hapa.

Only seen in 237 ama 001

Hehehe za nrb ni posho mill sio tuktuk

mbona, are’nt they safer than bodabodas?

Have you ever seen how those ferkers drive them on the road kama hapo Landhies? Natughasia tumejaa madent kila mahali.

:D:D:D:D:D:D…In Dar ama Mombasa I prefer them to taxis coz of the breeze but hizi za Nairobi sigwes panda hata na dawa.

hii ni ya 237 Thika. wanjiita “usiku sacco”. very useful kwa walevi usiku. ubaya ukiingia 4am kwa esto kila mtu anajua umeingia coz ya engine noise ya hizi vitu.

Why?

They are rowdy, ugly and metallic.

Hii ng’mbe ilienda wapi

Ilikamuliwa mkia alafu ikachinjwa

But cheap …fucking cheap…in coasto nilikuwa nachapa lap niki smoke up na dere from the bar it is a sure way of getting home when tipsy sana…

[ATTACH=full]155295[/ATTACH]
Misijalie its probably a sunday morning by 7.oo nisha pass out…

Too metallic…tuk tuk poa niza mombasa Malindi

Kuna time alikuwa a guest of state. From there sijamsikia.

Toeni maoni.
[ATTACH=full]155309[/ATTACH]

[ATTACH=full]155311[/ATTACH]
Haka Sasa katainua nini

Box za biscuits. Kanakaa kuangushia dere mzigo hapo chini.

Za coast nazipenda sana

Mla Leo hospital Kuna tuk tuk ambulances, kichwa ikiwa ndani kwa stretcher miguu ziko inje