Omosh is back

[ATTACH=full]371293[/ATTACH]

SI umeland saa hii na private jet. Saidia yeye @ChifuMbitika

Kazi ilikuwa kuamka, kung’ara na kutoka nje

https://www.youtube.com/watch?v=B4ecb11g5r8:33

Jamaa Hadi alipewa shamba na kujengewa nyumba, huyu hawezi saidika

Mwanamme bwege huyo. Mbegu mbaya. Hakuna mwanamke afaa kupatia mtu kama huyo ngono

You were expecting a leopard to change its spots?

The minute I saw him crying and going down on his knees when that guy gave him a ka-plot, I knew he was a useless man.

Omosh almost gave that guy a blow job on his knees.

Charity is addictive.

Jalango amuokolee tu tena, hakuna haja ya kusaidia mtu ndio upate views kwa youtube yako

This is why I always say giving someone cash never helps. @patco argues that give a black man a house, and then what? He still cannot support himself.

Tulimpatia pesa nyingi na ni kama alikunywa yote

[ATTACH=full]371313[/ATTACH]

Pale insta kwa comment jalango anasema majamaa alipata pesa mingi sana

Na akienda na soo tano kwa lanye hatapata?

Auze smokie na mayai pia, kwani amekatwa mikono?

Ghaseer sichangi tena amekuwa worse ata kuliko kunguru

It was obvious the loser would “backslide.” Ukiona mtu ametengwa na familia na marafiki wote, na wewe unajipeleka hapo na kiherehere kumsaidia as if those close to him don’t know better, haya ndio matokeo. Huyu ata akipewa 100 million bado atakuwa amekojolea yiiiiiiiiote after 3 months. He needs to be totally sober for at least two years ndio asaidike.

[ATTACH=full]371314[/ATTACH]
[ATTACH=full]371315[/ATTACH]

Is he acting

It’s just a simulation

Huku Kenya even charity is just a scam

Mtu wa pombe hawezi saidika. It is usually a waste of time to help an alcoholic no matter how hard you try. Hizo pesa alipewa I can guarantee you that ziliishia kwa pombe na malaya.

[ATTACH=full]371321[/ATTACH]